story zilizotanda kila kona ya kuwa Will Smith msanii, muigizaji na mchekeshaji amefariki kwa kuji overdoze, zimekanushwa na website mbali mbali na kudai kuwa ni uzushi tu, na si mara ya kwanza kuzushiwa kwa Will Smith ambapo mwaka jana alizushiwa kuwa amefariki kwa ajali ya gari. will smith yupo kitaa bado anaendelea kupeta kitaa na kukisanua kama kawa
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.