Msanii wa kizazi kipya (bongo fleva) Mtu mzima Diomond Platnumz anatarajia kupiga Tour ya Europe mwezi wa Sita. Ataanzia Sweden,Norway,Holland,Belgium na nchi nyingi....Tour hiyo itaanza 10th/06/2011 na itaisha 19th/06/2011 endelea kutembelea bongoCELEBRITYspot kwa habari zaid........ |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.