Uzushi mwingine ulikuwa ni wa mtu mzima 2pac ambae alifariki dunia mwaka 1996 kama uliingia chaka na kukubali utakua mjinga, ilifikia mpaka idadi wa watu 3,000 waliingia chaka juu ya story iliyokua ikitapakaa kila sehemu ambayo ilikua ikisema tupac yuko hai na anaishi New Zealand..
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.