ABOUT bOngOcElEbRiTySpOt

Karibu ndani ya Celebrityspot.com.Shukrani sana kwa kuitembelea blog hii.Hii ni blog ambayo inaandika kuhusu watu mashuhuri au maarufu wa Tanzania, Afrika Mashariki na duniani kote kwa ujumla.

Maisha ya watu mashuhuri au maarufu(celebrities) yana mvuto wa hali ya juu kwa jamii na vilevile yana mchango mkubwa katika kuifunza jamii mengi.

Kupitia blog hii utapa habari motomoto kuhusu maisha ya kila siku na kazi za watu maarufu wa sasa na wale wa kale,mahojiano na picha zao.Pia kupitia blog hii utapata nafasi ya kuwafahamu Upcoming celebrities wa ndani na nje ya Tanzania.

Blog hii inatumia lugha ya kiswahili na kiingereza.Lakini kiswahili ndicho kinapewa kipaumbele zaidi.

Kama una habari za mtu maarufu au wewe mwenyewe ni mtu maarufu na unalo jambo ambalo ungependa liwafikie watanzania, wanaAfrika Mashariki na duniani kote kwa ujumla kupitia blog hii,usisite kuwasiliana nami kwa kupitia; athadeo.anselem45@gmail.com

Maoni ya aina zote yanakaribishwa ingawa matumizi ya lugha chafu sitayavumilia. Yawezekana kabisa kutoa mchango wako au maoni yako bila kutumia lugha zenye matusi.

 Pia ninakaribisha matangazo na wadhamini(sponsors).Kwa maulizo ya bei au gharama za kutangaza biashara au matukio na udhamini wasiliana nami  kupitia; 
                                                            0713 580758
                                                       or
                                athadeo.anselem45@gmail.com
                                                 
                                                     Wote mnakaribishwa!!

                                                        Karibuni Sana...!!!!!