Tuesday, May 31, 2011

SERENGETI FIESTA FREESTYLE 2011 MADADASHOSTI NAO WAMO!!!!

2PAC YU HAI?

Uzushi mwingine ulikuwa ni wa mtu mzima 2pac ambae alifariki dunia mwaka 1996
kama uliingia chaka na kukubali utakua mjinga, ilifikia mpaka idadi wa watu 3,000 waliingia chaka juu ya story iliyokua ikitapakaa kila sehemu ambayo ilikua ikisema tupac yuko hai na anaishi New Zealand..
   

WILL SMITH: KAFARIKI DUNIA?

story zilizotanda kila kona ya kuwa Will Smith msanii, muigizaji na mchekeshaji amefariki kwa kuji overdoze, zimekanushwa na website mbali mbali na kudai kuwa ni uzushi tu, na si mara ya kwanza kuzushiwa kwa Will Smith ambapo mwaka jana alizushiwa kuwa amefariki kwa ajali ya gari. will smith yupo kitaa bado anaendelea kupeta kitaa na kukisanua kama kawa

WAKACHA WASHADONDOSHA PINI JIPYA

Wakacha kundi linaloundwa na jamaa wenye swagga  za hatari wameshadondosha pini jipya linaloitwa Here we go chini ya producer Pancho Latino...................

PACHA WA P-SQUARE AVAMIWA NA MAJAMBAZI

Mmoja wa pacha wanaounda kundi la P-Square,Paul Okoye alionja joto ya jiwe baada ya kuvamiwa na majambazi alipokuwa njiani kuelekea Victoria Island kucheki washikaji zake Paul alikuwa akiendesha mkoko wake mpya aina ya BMW X6 lenye plate number za "RUDE BOY"na kwa moyo wa utu aliokua nao ndio uliomponza,coz alisimama njiani kutoa msaada kwa waliopata ajali na watu wawili kutokea pasipojulikana na kumtolea bastola na kumpora simu,fedha na vito vya thamani na vinginevyo.........

A .Y NEXT LEVEL!!

AMBWENE YESSAYAH A.K.A A.Y  Mzee wa Commercial amekwenda next level zaidi baada ya kufanya collabo na mkali kutoka marekani,Percy Romeo Miller JR. aka Lil Romeo na D'anna Stewart,ngoma iitwayo Speak with your Body.....Mbali na Lil Romeo pia kwa sasa ana mpango wa kufanya kazi na Soulja Boy,coz aliacha demo yake na baada ya Soulja Boy kuisikia collabo na Lil Romeo alizima makila kinga ya AY na kuamua kufanya nae kazi na kwa sasa AY anasubiri aletewe beats tu azifanyie kazi na mwezi ujao anatarajiwa kwenda Marekani kwa ajili ya kupiga huo mzigo pamoja na kutengeneza video ya Speak with your Body

Sunday, May 29, 2011

IRENE UWOYA AITWA MAMA SASA!!!!

Mwanadada mlimbwende ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo IRENE UWOYA amejifungua mtoto wa kiume ambaye amemuita KRISH...Irene amesema amefurahi sana kuwa Mama....

ALLAN TASH KUWAKILISHA ARACHUGA MASHINDANO YA FREESTLE 2011

Picha hapo juu kulia ni mshiriki wa Fiesta Freestyle ALLAN TASH kutoka Arachuga akifanya mavituziii ambayo ambayo yalimfanya kuwa mwakilishi wa Arachuga katika mashindano hayo........

BEN PAUL SASA NDANI YA JUMBA LA VIPAJI (THT)

MSANII BABA STYLES A.K.A NOORAH ATOKA NA LUGHA GONGANA

CHABBY 6 KUWAKILISHA FIESTA FREESTYLE KUTOKA ZANZIBAR

Saturday, May 28, 2011

MISS UNIVERSE TANZANIA 2011

Nelly Alexsandra Kamwelu was crowned Miss Universe Tanzania 2011 at the Golden Tulip Hotel in Dar es Salaam. Nelly is 18 year old and stands 1.72 m. She will represent Tanzania in Miss Universe 2011 in Sao Paulo, Brazil.

Wednesday, May 25, 2011

DIAMOND EUROPEAN TOUR 2011

Msanii wa kizazi kipya (bongo fleva) Mtu mzima Diomond Platnumz anatarajia kupiga Tour ya Europe mwezi wa Sita. Ataanzia Sweden,Norway,Holland,Belgium na nchi nyingi....Tour hiyo itaanza 10th/06/2011 na itaisha 19th/06/2011 endelea kutembelea bongoCELEBRITYspot kwa habari zaid........