Jumapili hii Belle 9 atazindua Video yake mpya ya NILIPE NISIPE pale Club Bilcanaz huku akisindikizwa na wasanii wenzake wa kizazi kipya Quik Rocka & Linex...pia Belle 9 atakamua ngoma zake zote kama Sumu ya penzi,Masogange,We ni Wangu na nyingine kibaoooo..... |